NB: GHARAMA ZA USAFIRI UTALIPIA WAKATI WA KUPOKEA/KUTUMA BIDHAA KULINGANA NA ANUANI ULIYOWEKAElectric Kettle yenye uwezo wa 3 Liters – chaguo bora kwa matumizi ya kila siku. • Capacity kubwa (3L) – inafaa kwa familia au ofisi • Design ya kuvutia yenye mwanga (illuminating light) – ina muonekano wa kisasa jikoni • Safety lock lid pamoja na boil-dry protection – inalinda kettle na kuhakikisha usalama • Imetengenezwa kwa stainless steel imara – inadumu na kustahimili joto na baridi • Flat heating element – rahisi kusafisha na inapasha maji haraka • Inapasha maji kwa ufanisi mkubwa • Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini • Ubora wa uhakika kwa matumizi ya muda mrefu Download There have been no reviews for this product yet.




